thumbnail

Wanyama pori

Tangaza Utalii Tangaza Utalii | 1 min read
8 months ago

Hifadhi ya Ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa kilometa 131 magharibi kwa mji wa Iringa. Hifadhi ya taifa ya Ruaha inaenea kwa zaidi ya kilomita mraba 20,000 za ardhi. Hivyo ni mbuga ya pili kwa ukubwa Tanzania baada ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere (Selous).

Comments

Login to Post Comments
No Comments Posted